Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mha.Rogatus Mativila (katikati) akitoa maelekezo kwa Maafisa TEHAMA wa DART baada ya kutembelea na kukagua mapokezi ya shehena ya kwanza ya mageti janja, kulia ni Mtendaji Mkuu wa DART Dkt. Athumani Kihamia, Aprili 23,2024 katika Kituo kikuu cha Gerezani Dar es Salaam.

Wanawake DART wawakumbumbuka wafungwa kwa kutoa zawadi mbalimbali kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

Dkt. Kihamia akizungumza na Watumishi wa DART alipokutana nao kwa mara ya kwanza tarehe 26 Januari 2024.

Mtendaji Mkuu DART akisalimiana na abiria alipokagua maendeleo ya utoaji huduma

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mha. Rogatus Mativila (katikati) katika picha ya pamoja na Menejimenti ya DART mara baada ya kushuhudia makabidhiano ya Ofisi kati ya Mtendaji Mkuu Dkt. Athuman Kihamia na mtangulizi wake Dkt. Edwin Mhede, Januari 16, 2024 Ubungo Maji Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu wa DART, Dkt. Athuman Kihamia akizungumza na Menejimenti ya Wakala wa DART, mara baada ya kukabidhiwa Ofisi Januari 16, 2024.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo - DART, Dkt. Athuman Kihamia (katikati) akipokea nyaraka za makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa wakala huo Dkt. Edwin P. Mhede tarehe 16 Januari, 2024 katika Ofisi za Wakala, Ubungo Maji Dar es salaam.

Ziara ya Ujumbe wa Benki ya Dunia
Ziara ya Ujumbe wa Benki ya Dunia
Maonesho ya Wakulima Nanenane - Mbeya
Maonesho ya Wakulima Nanenane - Mbeya
Maonesho ya Wakulima Nanenane - Mbeya
Maonesho ya Wakulima Nanenane - Mbeya