Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Huduma Za Vyoo Katika Vituo Vikuu

Mfumo wa Njia wa Mabasi Yaendayo Haraka ina vyoo vilivyojengwa vizuri na kutoa fursa nyingine kwa Wakala kupata uwekezaji kwakuwa wasafiri wengi wanatuia vyoo hivi. Kutokana na hali hii, tutaendelea vyoo vingi zaidi na kuboresha viwango vya vile vilivyokwisha jengwa.