Matukio

Natokaje kwenye kituo cha DART?

  • I. Pitisha kadi au tiketi yako ya karatasi ya kieletroni kwenye mashine mpaka uone mshale wa kijani utakaokuruhusu kupita.
  • II. Iwapo kuna daraja la wapiti kwa miguu tumia daraja hilo kuvuka upande wa pili wa barabara. Daraja hilo linakukinga dhidi ya ajali za barabarani.