Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Mabasi Ya Kawaida

Wakala wa DART inatoa pia huduma ya mabasi yaendayo haraka ambayo husimama kila kituo katika kilichopo katika njia kuu. Njia kuu zilizopo katika Mradi wa DART Awamu ya Kwanza ni kutoka Kituo Kikuu cha Kimara hadi Kituo Kikuu cha Kivukoni, pamoja na matawi ya Magomeni hadi Kituo Kikuu cha Morocoo na tawi la kutoka Kituo cha Fire hadi Kituo Kikuu cha Gerezani Kariakoo.

Aidha, vituo ambavyo Mabasi Yaendayo Haraka husikama katika kila kituo cha Mradi wa DART wa Awamu ya Kwanza katika Huduma ya Mabasi ya Kawaida ni Kama inavyoonyeshwa katika jedwali hapo chini;

VITUO VILIVYOPO NJIA KUU YA KIMARA HADI KIVUKONI

VITUO VIVILVYOPO NJIA KUU TAWI LA MAGOMENI  HADI MOROCCO

VITUO VILIVYOPO NJIA KUU TAWI LA FIRE HADI GEREZANI KARIAKOO

  • KIMARA
  • KOROGWE
  • BUCHA
  • BARUTI
  • CORNER
  • KIBO
  • UBUNGO MAJI
  • UBUNGO TERMINAL
  • SHEKILANGO
  • URAFIKI
  • TIP TOP
  • MANZESE
  • ARGENTINA
  • KAGERA
  • MWEMBECHAI
  • MAGOMENI USALAMA
  • MAGOMENI MAPIPA
  • FIRE
  • DIT
  • KISUTU
  • HALMASHAURI YA JIJI
  • POSTA YA ZAMANI
  • KIVUKONI
  • MAGOMENI HOSPITALI
  • MAGOMENI KANISANI
  • MKWAJUNI
  • MWANAMBOKA
  • KINONDONI – B
  • MOROCCO TERMINAL
  • FIRE
  • MSIMBAZI – A
  • MSIMBAZI – B
  • GEREZANI TERMINAL