
Mhandisi Ezron Charles Kilamhama
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji
Wasifu
Ezron C. Kilamhama ni Mhandisi aliyesajiliwa katika Bodi ya Usajili wa Waandisi Tanzania (PE.3201), ana Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Uhandisi akibobea katika Usimamizi wa Miradi. Mhandisi Ezron ni Mwanachama wa Taasisi ya Wahandisi Tanzania (MIET 1751) mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika kubuni, kusimamia na kuratibu miradi ya miundombinu.