Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Maeneo ya Biashara

Wakala wa DART kupitia Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka unatoa maeneo kwa ajili ya kufanya biashara zinazotumiwa kwa wingi na abiria wa usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka. Makampuni mengi yamenufaika kwa kufanya biashara katika maeneo ya miundombinu ya Mfumo wa DART kama vile Mashine za kutolea fedha, Mashine za kuuza maji ya kunywa nakadhalika.