Matukio

Huduma za ATM katika Vituo Vikuu

HUDUMA ZA ATM KWENYE VITUO VYOTE VIKUU

Wakala ipo katika hatua ya mwisho ya kujenga huduma za ATM kwenye vituo vikuu vyote ili kuwasaidia wateja kupata fedha pale wanapohitaji na hivyo kutatua tatizo lisilo la fedha hasa kwenye njia ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka katika awamu zote.