DART Chief Executive, Dr. Edwin Mhede inspecting the construction progress of one of the Phase II BRT Station at Mbagala Zakhem.

DART Chief Executive, Dr. Edwin Mhede expressing something to Staffs after inspecting the Mbagala Zakhem feeder station that to be used during the Sabasaba exhibitions.

DART Acting Manager of Planning and Transportation, Eng. Mohamed Kuganda explaining something to experts from Tanroads, Sino Hydro and SMEC at Gerezani area during the site handover for DART Project Phase III.

Park and Ride facility at Mtoni kwa Azizi Ali Feeder station

Elimu ya usalama katika Mfumo wa DART imekuwa ikitolewa mara kwa mara na Wakala wa DART kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

Huduma ya Mabasi Yaendayo Haraka ikiendelea katika Mradi wa DART Awamu ya Kwanza.

Mtendaji Mkuu wa DART, Dr. Edwin Mhede na Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Mohamed wakisaini hati za makubaliano ya ushirikiano katika utekelezaji wa miradi minne. Wanaoshuhudia ni Wanasheria wa DART na TanTrade.

Mtendaji Mkuu wa DART, Dr. Edwin Mhede akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade pamoja na Viongozi na Watumishi wa taasisi hizo mbili mara baada ya kutia saini hati ya makubaliano ya ushirikiano wa utekelezaji wa miradi minne.

Muonekano wa Daraja la Juu katika makutano ya barabara ya Mandela na Kilwa eneo la Uhasibu ambalo ujenzi wake unendelea. Daraja hilo litaunganisha Awamu ya Pili na Tano za Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka.

Muonekano wa Daraja la Juu eneo la Chang'ombe linalojengwa katika Mradi wa DART Awamu ya Pili litaunganisha huduma za Mabasi Yaendayo Haraka awamu ya Pili kipande cha JKT Mgulani hadi Magomeni Mapipa na Awamu ya Tatu kutokea Gongolamboto hadi mjini kati.

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe.David Silinde akitoa salamu za Wizara kwa wajumbe wa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakati wa ziara ya kukagua  ujenzi wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka  Mei 28, 2022 Ubungo jijini Dsm

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka(DART) Edwin Mhede(aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo juu ya ujenzi wa Karakana ya Ubungo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(USEMI) Mei 28,2022 Ubungo jijini Dar es Salaam

Mtaalam wa Masuala ya Usalama na Uokoaji Dk.Amani Mshana akifundisha jinsi ya kutoa Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepata ajali kwa CT na Madereva wapya wanaofanya kazi katika mfumo wa DART  wakati wa mafunzo ya KAIZEN Karakana Jangwani Mei 17,2022.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka(DART) Dk.Edwin Mhede(aliye kati) akiongea na washiriki wa mafunzo ya utekelezaji wa Kiwango cha Kimataifa cha Ubora(ISO) katika ukumbi wa mikutano SUA mjini Morogoro Mei, 2022

Muonekano wa Mabasi Yaendayo Haraka wakati yakipita katika Uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi, 2022

Wafanyakazi wa DART wakiwa katika maandamano kuelekea Uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi, 2022.

Mkurugenzi wa Utawala, Rasilimali watu na Mawasiliano DART, Dr. Eliphas Mollel (aliyevaa suti) akiwapongeza Wafanyakazi hodari kutoka kila Idara wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika Ofisi za Wakala zilizoko Ubungo Maji Dar es salaam.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede akitoa nasaha katika hafla fupi ya kuwapongeza Watumishi hodari kutoka katika kila idara iliyofanyika katika Ofisi za Wakala Ubungo Maji Dar es salaam.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa DART CPA Deudelity Kasmir akifungua mafunzo ya KAIZEN Taasisi ya Mafunzo ya  Uanasheria kwa Vitendo(Law School of Tanzania) Machi 21, 2022.

Mtendaji Mkuu wa DART  Dk. Edwin Mhede akifafanua jambo kwa    waandishi wa Habari juu ya Mafanikio ya DART katika kipindi cha mwaka mmoja wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ubungo Karakana Machi 15,2022

Mtendaji Mkuu wa DART, Dr. Edwin Mhede akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya Upangaji Mitaa kutoka DART, TARURA, TANROADS na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mara baada ya kufungua mafunzo hayo.

Sehemu ya Barabara ya Mabasi yaendayo Haraka Awamu ya pili (BRT II) katika Barabara ya Kilwa mkoani Dar es Salaam.

News More News

DART na TANTRADE wasaini makubaliano ya kupeleka Mabasi katika maonyesho ya Sabasaba.

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART umetiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano na Mamlaka ya Bisahara Tanzania TanTrade kwaajili ya kupeleka usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka katika maonyesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama sabasaba ili kuwarahisishia wananchi usafiri katika msimu wa maonyesho. Akizungumza katika hafla kutiliana saini makubaliano hayo iliyofanyika katika Ofisi za Tantrade Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa DART Dkt.Edwin Mhede amesema uamuzi wa kupeleka Mabasi katika viwanja vya sabasaba ni muendelezo wa kutatua kero ya usafiri wa umma katika jiji la Dar es Salaam hasa katika eneo la Mbagala na maeneo ya jirani. Aidha Dkt.Mhede amesema kupeleka Mabasi katika viwanja vya sabasaba pia ni kutekeleza maagizo ya Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa USEMI ambayo ilifanya ziara hivi karibuni katika Wakala kujionea shughuli mbali mbali zinazotekelezwa na kutoa agizo hilo. “Uamuzi wa kuleta Mabasi huku sabasaba ni wa kimkakati kabisa na ni mwanzo wa kuelekea kuleta huduma kamili ya mabasi katika Barabara ya Kilwa itakapokamilika mwezi Machi mwakani, na niwahahakikishie wakaazi wa Mbagala na maeneo ya jirani kuwa usafiri unaanza kuja wakati wa sabasaba na muda si mrefu mkandarasi akikamilisha barabara tutaanza huduma rasmi na kwa viwango vya kimataifa kuliko ilivyokuwa katika awamu ya kwanza” Alisema. Amesema maonyesho ya sabasaba ni sehemu ambayo inakutanisha watu wengi kutoka sehemu mbali mbali za jiji hivyo Wakala umeona ni vyema kutumia fursa hiyo kuwarahisishia usafiri lakini pia kutangaza huduma. Katika siku za usoni Taasisi hizo pia zimekubaliana kuendeleza ushirikiano ikizingatiwa maboresho ya miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka yanakwenda sambamba na kuboresha miundombinu na makazi yanayaopakana nayo kwaajili ya kutumia fursa zitokanazo na miundombinu hiyo. Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi.Latifa Mohamed Hamis amesema makubaliano baina yake na DART ni mwanzo wa kuendeleza kutangaza shughuli za biashara katika viwanja vya sabasaba lakini pia ni mwanzo wa kupanua wigo wa shughuli za uchumi katika maeneo yanayozunguka viwanja hivyo. “Kuendelea kupanuka kwa maendeleo katika eneo hili ni Dhahiri kuwa hata shuighuli za kiuchumi hususan biashara zitaongezeka hivyo wenzetu wakileta Mabasi huku kwetu wataongeza thamani katika ustawi wa jamii inayotuzunguka kwani usafiri karika eneo hili ni changamoto kubwa” Alisema. Katika kipindi cha maonyesho yam waka huu DART itapeleka Mabasi zaidi ya kumi ambayo yatatoa huduma kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa mbili usiku na wananchi wataweza kununua tiketi za kuingia kwenye maonyesho ya sabasaba wakiwa katika vituo vya mwendokasi vya Kimara, Kivukoni, Morocco,Gerezani, na hata Kibaha, Mloganzila na Mbezi kama kutakuwa na uhitaji huo. Watumiaji wa Mabasi Yaendayo Haraka kutoka maeneo mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam wamerahisishiwa pia namna ya kuingia katika viwanja vya sabasaba ambapo kimeandaliwa kituo maalum ambacho kiko nje ya viwanja hivyo na wananchi watakaposhuka tu hawatalazimika kukata tiketi watatumia tiketi walizokatia karika vituo mbali mbali vya DART. Sambamba na wananchi kurahisishiwa ukataji tiketi za kuingia sabasaba pamoja na kuwepo na huduma ya Mabasi Yaendayo Haraka wametengenezewa pia mlango wao maalum ambapo wakishuka tu kwenye Mabasi wanaingia uwanjani moja kwa moja bila usumbufu wowote, kadhalika kutakuwa na Huduma ya bure ya WiFi katika Mabasi na Katika maeneo yote ya viwanja vya sabasaba.

Read More Posted On :Jun 08, 2022

Watumishi wapya BRT wapewa mafunzo ya Usalama na Uokozi

Watumishi zaidi ya 100 ambao ni waajiriwa wapya katika mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka DART wamepatiwa mafunzo maalum ya utayari wa kupambana na maafa uokoaji pamoja na huduma ya kwanza ili kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu yao kwa weledi.

Read More Posted On :May 18, 2022

​Dkt. Mhede awataka watumishi DART kufanyakazi kwa umoja

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt.Edwin Mhede amewataka watendaji wa wakala kujituma na kufanya kazi kwa umoja kwani umoja ndio nguzo pekee ya mafanikio mahala pa kazi.

Read More Posted On :May 05, 2022

​Saudia Yaonyesha nia kuwekeza kwenye Mwendokasi

Nchi ya Saudi Arabia imeonyesha nia ya kufanya uwekezaji mkubwa katika mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) katika uendeshaji wa Mabasi, Teknolojia pamoja na mifumo ya uendeshaji kutokana na uzoefu wa miaka mingi walio nao katika sekta hiyo, lakini pia kutokana na Tanzania kuwa na mazingira mazuri na tulivu kwaajili ya uwekezaji.

Read More Posted On :Mar 31, 2022
Events More Events
2019
02
Oct

IKI Regional Conference on Growing Smarter: Sustainable Mobility in East Africa

IKI Regional Conference on Growing Smarter: Sustainable Mobility in East Africa. The works...

More Events Posted On :Oct 07, 2019

Testimonials

Tanzania Census 2022