Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Mabasi Ya Express

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), unatoa huduma ya mabasi ya haraka (express) katika Njia Kuu ya Mabasi Yaendayo Haraka ambayo kwa kawaida husimama baadhi ya vituo kutokea katikati ya mji kuelekea Kituo Kikuu cha Kimara na vivyo hivyo kutokea Kimara kuelekea katikati ya mji.

Vilevile Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka unatoa huduma ya Mabasi ya haraka kutokea Njia Mlishi katika Kituo cha Mbezi Luis na Kibaha hadi katikati ya Mji kupitia Njia Kuu.

Huduma hii ya mabasi ya haraka hutambulika kirahisi na abiria aliyeko nje ya basi kwa maandishi ya herufi kubwa  yanayoonekana pande zote za basi juu ya vioo vya madirisha. Aidha maandishi hayo pia yanaonekana kirahisi ndani ya basi kupitia vibao maalum vunavyoonyesha uelekeo wa basi husika.

Vituo vya mabasi ya haraka ni kama inavyoonekana katika jedwali lifuatalo;

KIMARA -  KIVUKONI

KIMARA - GEREZANI

KIVUKONI - KIMARA

GEREZANI - KIMARA

 • KIMARA
 • KOROGWE
 • BUCHA
 • BARUTI
 • CORNER
 • KIBO
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • FIRE
 • DIT
 • KISUTU
 • HALMASHAURI YA JIJI
 • POSTA YA ZAMANI
 • KIVUKONI
 • KIMARA
 • KOROGWE
 • BUCHA
 • BARUTI
 • CORNER
 • KIBO
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • FIRE
 • MSIMBAZI - B
 • GEREZANI

 

 • KIVUKONI
 • POSTA YA ZAMANI
 • HALMASHAURI YA JIJI
 • FIRE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • MANZESE
 • SHEKILANGO
 • UBUNGO TERMINAL
 • UBUNGO MAJI
 • KIBO
 • CORNER
 • BARUTI
 • BUCHA
 • KOROGWE
 • KIMARA
 • GEREZANI
 • MSIMBAZI – B
 • FIRE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • MANZESE
 • SHEKILANGO
 • UBUNGO TERMINAL
 • UBUNGO MAJI
 • KIBO
 • CORNER
 • BARUTI
 • BUCHA
 • KOROGWE
 • KIMARA

 

MBEZI LUIS  – KIVUKONI

MBEZI LUIS - GEREZANI

KIVUKONI – MBEZI LUIS

GEREZANI – MBEZI LUIS

 • MBEZI LUIS
 • KIBANDA CHA MKAA
 • KWA MSUGURI
 • TEMBONI
 • KIMARA SUKA
 • KIMARA STOP OVER
 • KOROGWE
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • FIRE
 • DIT
 • KISUTU
 • HALMASHAURI YA JIJI
 • POSTA YA ZAMANI
 • KIVUKONI
 • MBEZI LUIS
 • KIBANDA CHA MKAA
 • KWA MSUGURI
 • TEMBONI
 • KIMARA SUKA
 • KIMARA STOP OVER
 • KOROGWE
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • FIRE
 • MSIMBAZI – B
 • GEREZANI

 

 • KIVUKONI
 • POSTA YA ZAMANI
 • HALMASHAURI YA JIJI
 • FIRE
 • MANZESE
 • KIMARA STOP OVER
 • KIMARA SUKA
 •  TEMBONI
 • KWA MSUGURI
 • KIBANDA CHA MKAA
 • MBEZI LUIS
 • GEREZANI
 • MSIMBAZI – A
 • FIRE
 • MANZESE
 • KIMARA STOP OVER
 • KIMARA SUKA
 •  TEMBONI
 • KWA MSUGURI
 • KIBANDA CHA MKAA
 • MBEZI LUIS

 

MBEZI LUIS – HOSPITALI YA MUHIMBILI

HOSPITALI YA MUHIMBILI – MBEZI LUIS

 • MBEZI LUIS
 • KIBANDA CHA MKAA
 • KWA MSUGURI
 • TEMBONI
 • KIMARA SUKA
 • KIMARA STOP OVER
 • KOROGWE
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • MUHIMBILI

 

 • MUHIMBILI
 • MANZESE
 • KIMARA STOP OVER
 • KIMARA SUKA
 • TEMBONI
 • KWA MSUGURI
 • KIBANDA CHA MKAA
 • MBEZI LUIS

 

KIBAHA – GEREZANI (SAA 12:00 ASUBUHI)

KIBAHA – GEREZANI (SAA 12:30 ASUBUHI)

 • KIBAHA TERNINAL
 • NJUWENI
 • MALIASILI
 • SHELI
 • KILUVYA MADUKANI
 • KILUVYA KWA KOMBA
 • GOGONI
 • KIBAMBA SHULE
 • CHAMA
 • KIBAMBA KWA MANGI
 • KIBAMBA HOSPITALI
 • LUGURUNI
 • CHUO
 • MAGARI SABA
 • KWA YUSUPH
 • KIBANDA CHA MKAA
 • KWA MSUGURI
 • TEMBONI
 • KIMARA SUKA
 • KIMARA STOP OVER
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • FIRE
 • MSIMBAZI – B
 • GEREZANI
 • KIBAHA TERNINAL
 • NJUWENI
 • MALIASILI
 • SHELI
 • KILUVYA MADUKANI
 • KILUVYA KWA KOMBA
 • GOGONI
 • KIBAMBA SHULE
 • CHAMA
 • KIBAMBA KWA MANGI
 • KIBAMBA HOSPITALI
 • LUGURUNI
 • CHUO
 • MAGARI SABA
 • KWA YUSUPH
 • KIBANDA CHA MKAA
 • KWA MSUGURI
 • TEMBONI
 • KIMARA SUKA
 • KIMARA STOP OVER
 • SHEKILANGO
 • MANZESE
 • MAGOMENI MAPIPA
 • FIRE
 • MSIMBAZI – B
 • GEREZANI