More News

Watumishi wapya BRT wapewa mafunzo ya Usalama na Uokozi Posted On: 18 May 2022

Watumishi zaidi ya 100 ambao ni waajiriwa wapya katika mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka DART wamepatiwa mafunzo maalum ya utayari wa kupambana na maafa uokoaji pamoja na huduma ya kwanza ili kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu yao kwa weledi.

Read More

​Dkt. Mhede awataka watumishi DART kufanyakazi kwa umoja Posted On: 05 May 2022

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt.Edwin Mhede amewataka watendaji wa wakala kujituma na kufanya kazi kwa umoja kwani umoja ndio nguzo pekee ya mafanikio mahala pa kazi.

Read More

​Saudia Yaonyesha nia kuwekeza kwenye Mwendokasi Posted On: 31 Mar 2022

Nchi ya Saudi Arabia imeonyesha nia ya kufanya uwekezaji mkubwa katika mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) katika uendeshaji wa Mabasi, Teknolojia pamoja na mifumo ya uendeshaji kutokana na uzoefu wa miaka mingi walio nao katika sekta hiyo, lakini pia kutokana na Tanzania kuwa na mazingira mazuri na tulivu kwaajili ya uwekezaji.

Read More

​DART Taasisi ya Kwanza sekta ya Usafirishaji Kutekeleza KAIZEN. Posted On: 28 Feb 2022

​Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART imekua taasisi ya kwanza ya serikali inayojihusisha na masuala ya usafirishaji kutekeleza falsafa ya kuleta mabadiliko chanya katika kuleta maendeleo na tija, KAIZEN.

Read More

​Waziri Bashungwa ampa kongole Dkt.Mhede kwa kuvuka lengo ukusanyaji mapato. Posted On: 27 Jan 2022

WAZIRI wa Nchi Ofisi Rais Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amempongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka(DART) Dk.Edwin Mhede kwa kubuni mikakati ya ukusanyaji mapato pamoja na kuwafichua wale wote wanaohusika na upotevu wa mapato, jambo ambalo limeuwwezesha Wakala huo kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato kwa zaidi ya asilimia 120.

Read More

​President Samia inaugurates BRT infrastructure development Phase II Posted On: 14 Dec 2021

The President of the United Republic of Tanzania, Her Excellency Samia Sululu Hassan has launched the construction of Bus Rapid Transit (BRT) infrastructure Phase II by laying a foundation stone at Mbagala depot on December 04, 2021.

Read More

​Austria yaonyesha nia kuwekeza katika Mabasi Yaendayo Haraka Posted On: 04 Dec 2020

Kampuni ya Utengenezaji Mabasi yanayotumia nishati jadidifu ya gesi ya ETEFA kutoka nchini Austria, imeonyesha nia ya kuwekeza nchini Tanzania katika mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka DART kwenye eneo la Mabasi ya kisasa yanayotumia gesi badala ya mafuta.

Read More

Director instructs DART staff to work with diligence Posted On: 02 Jul 2020

As the pace of extending Bus Rapid Transit (BRT) infrastructure increases in other main roads of Dar es Salaam city especially after completing the infrastructure construction of the Dar Rapid Transit (DART) project phase 1 along Morogoro Road and commencement of bus operations under Interim Service Provider (ISP) in May 2016, the need of DART Agency having competent and hard working staff is of paramount to manage people’s expectations in the implementation of the project.

Read More
Tanzania Census 2022