Matukio

Huduma za Vyoo

HUDUMA ZA CHOO KATIKA VITUO VIKUU

Mfumo wa Njia wa Mabasi Yaendayo Haraka ina vyoo vilivyojengwa vizuri na kutoa fursa nyingine kwa Wakala kupata uwekezaji kwakuwa wasafiri wengi wanatuia vyoo hivi. Kutokana na hali hii, tutaendelea vyoo vingi zaidi na kuboresha viwango vya vile vilivyokwisha jengwa.