Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Mfumo wa DART Awamu ya Sita

Ujenzi wa barabara maalaum za zege zenye urefu wa kilometa 33.5 km:
 Mwai Kibaki (Moroco – Kawe) – 7.8km
 Extension ya BRT1 (Kimara – Kibaha) – 20.7km
 Extension ya BRT 2 (Mbagala rangi tatu – Vikindu) – 5.0 km

Inahusisha barabara za Mwai Kibaki, kuongeza kipande cha Morogoro (kutoka Kimara hadi Kibaha) na kuongeza kipande cha Kilwa (kutoka Mbagara rangi tatu hadi Vikindu).
Usanifu wa awali (Concept Design) umekamilika, serikali inatafuta fedha kwa ajili ya usanifu wa Kina na Ujenzi wa miundombinu.