Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Brasia Malendeko, Resident of Kibaha
Brasia Malendeko, Resident of Kibaha

Anasema”Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi uko vizuri,unanisaidia sana mimi ambaye nina mashamba Kibiti Rufiji,lakini makazi yangu ni huku Kibaha,ninapotoka hapa kuelekea Kivukoni nikapande magari yatakayoniwezesha kufika Kibiti mashambani kwangu,japo naunganisha magari lakini kwangu ni nafuu na ni wa haraka.