Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Grace Egid
Grace Egid

Mtoa huduma kitengo cha kuratibu Mwenendo wa Mabasi (Monitoring), Anasema

"Huduma inatolewa,katika vituo vikuu huwa kunakuwa na sehemu tatu,ya kwanza kwa abiria wenye mahitaji maalum,abiria wenye kuhitaji siti na wale wa kusimama,abiria ni wengi lakini tunajitahidi kadili ya uwezo wetu kutoa huduma stahiki,kila mmoja akitimiza majukumu yake"