Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Peter Elias
Peter Elias

Mkazi wa Ilala, Dar-es-Salaam, Anashukuru huduma ya Mabasi ya Mwendo wa Haraka hasa kwa watu wenye mahitaji Maalum

Peter anasema,‘‘Wahudumu wa Mabasi ya Mwendo wa Haraka wana huruma,wanajali watu wenye mahitaji maalum,na ndio maana kuna viti maalum kwa ajili ya wahitaji,mfano mimi nikifika kituoni huwa sipati shida,kwa kuwa siwezi kusimama kwenye foleni napata siti,changamoto tu inakuja kuna baadhi ya abiria ndani ya mabasi wanakuwa hawana utu inapotokea siti zimejaa na hakuna anayekupisha siti hata kama ni muhitaji”.tunashukuru sana huduma ni nzuri.