Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka

"Usafiri wa Umma Nadhifu"

DART Logo
Sixmund Satu
Sixmund Satu

Dereva, ‘‘Tunajitahidi kutoa huduma zetu kama inavyotakiwa,Kama dereva kuna kipindi hunibidi kusimama kurudi nyuma kuwaelewesha abiria kuhusu kuwapisha watu wenye mahitaji maalum ikitokea hajapata siti katikati ya safari,abiria wanajua lakini wengine wanafanya makusudi,na wengine majibu yao huwa sio mazuri’’.