Matukio

Maonyesho ya Nanenane Nyakabindi-Simiyu

event image

Maonyesho ya Nanenane Nyakabindi-Simiyu

Tarehe: 2018-07-29
Mahali: Nyakabindi-Simiyu

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeshiriki katika Maonesho ya Nane Nane, kwa lengo la kuelimisha wananchi wa Nyakabindi-Simiyu na watanzania kwa ujumla juu ya mradi wa DART.