Ujenzi
Ujenzi
Ujenzi wa Awamu ya Kwanza ya DART ulianza rasmi mnamo Machi 2013 na kukamilika 2016, na hivyo kuashiria uzinduzi rasmi wa mfumo wa kwanza wa mabasi yaendayo haraka wa Dar es Salaam.
Ujenzi wa miundombinu ya Awamu ya Pili ya Mfumo wa DART, unaounganisha Mbagala Rangi Tatu na katikati ya Jiji, ulikamilika mwaka 2025.
Ujenzi wa miundombinu ya Awamu ya Tatu ya Mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka, inayotoka Katikati ya Jiji hadi Gongo la Mboto, unaendelea kwa sasa na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2027.
