Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART imekua taasisi ya kwanza ya serikali inayojihusisha na masuala ya usafirishaji kutekeleza falsafa ya kuleta mabadiliko chanya katika kuleta maendeleo na tija, KAIZEN.
Read MoreWAZIRI wa Nchi Ofisi Rais Tawala za Mikoa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa amempongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka(DART) Dk.Edwin Mhede kwa kubuni mikakati ya ukusanyaji mapato pamoja na kuwafichua wale wote wanaohusika na upotevu wa mapato, jambo ambalo limeuwwezesha Wakala huo kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato kwa zaidi ya asilimia 120.
Read MoreThe President of the United Republic of Tanzania, Her Excellency Samia Sululu Hassan has launched the construction of Bus Rapid Transit (BRT) infrastructure Phase II by laying a foundation stone at Mbagala depot on December 04, 2021.
Read MoreKampuni ya Utengenezaji Mabasi yanayotumia nishati jadidifu ya gesi ya ETEFA kutoka nchini Austria, imeonyesha nia ya kuwekeza nchini Tanzania katika mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka DART kwenye eneo la Mabasi ya kisasa yanayotumia gesi badala ya mafuta.
Read MoreAs the pace of extending Bus Rapid Transit (BRT) infrastructure increases in other main roads of Dar es Salaam city especially after completing the infrastructure construction of the Dar Rapid Transit (DART) project phase 1 along Morogoro Road and commencement of bus operations under Interim Service Provider (ISP) in May 2016, the need of DART Agency having competent and hard working staff is of paramount to manage people’s expectations in the implementation of the project.

Read MoreThere have been many internationally financial institutions which have shown interest in investing in the Dar Rapid Transit (DART) project in building infrastructure in terms of roads, buildings, and establishing IT.
Read MoreWhen the Government of Tanzania is in phase II of implementing its six phase project of Bus Rapid Transit (BRT) in Dar es Salaam city, studies have shown that the rate of migration of people to the city is so high.
Read More