Kaimu Meneja wa Oparesheni DART, Mhandisi Joseph Lubilo akifungua mafunzo maalumu kwa Maafisa Usafirishaji, Operesheni na Watoa Huduma kwa Abiria kutoka Kampuni ya Mofat ambaye ni Mtoa Huduma ya Mabasi Awamu ya Pili ya Mradi wa DART.

Huduma katika Mradi wa DART Awamu ya Pili imeanza kutolewa.

Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Dkt. Athumani Kihamia (kushoto), akimkabidhi taarifa rasmi ya makabidhiano ya ofisi mrithi wake, Bw. Said H. Tunda, katika Ofisi za Wakala zilizoko Ubungo Maji Dar es salaam tarehe 07 Oktoba 2025.

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala, Dkt. Eliphas Mollel akitoa salamu za ukaribisho kwa Mtendaji Mkuu, Bw. Said H. Tunda (aliyekaa katikati) alipofika Ofisi za Wakala kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo tarehe 02 Oktoba 2025.

Sehemu ya washiriki katika kikao cha kwanza kati ya DART na IFC kilichofanyika Januari 28, 2025 jijini Dar es Salaam. Wa kwanza mbele kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DART, Dk. Athumani Kihamia.

Ujumbe kutoka Umoja wa Afrika (AU) wakipata maelezo kuhusu Mageti Janja wakati wa ziara ya mafunzo waliyoifanya Desemba 20, 2024 katika Mradi wa DART.

Afisa wa DART akitoa elimu kuhusu matumizi ya Kadi Janja ya Mwendokasi kwa Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka katika Kituo Kikuu cha Kimara mara baada ya uzinduzi Septemba 2, 2024.

Afisa wa DART akitoa elimu kuhusu Mradi wa Maendeleo Yatokanayo na Maboresho ya Usafiri wa Umma (TOD) kwa Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka katika Kituo Kikuu cha Gerezani.