Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Angellah Kairuki (katikati) katika picha ya pamoja na Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka baada ya kuizindua Novemba 15, 2022 Dar es salaam.

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji DART, Mhandisi Fanuel Kalugendo akitoa salamu kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wakati wa Kampeni ya Usafi Wilaya ya Temeke ili kuhamasisha usafi hususani katika miundombinu ya Mradi wa DART Awamu ya Pili.

Viongozi wa DART wakisafisha mitaro iliyopo katika miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili katika barabara ya Kilwa eneo la Zakhem kwa lengo la kuhamisisha usafi katika miundombinu hiyo inayotajiwa kuanza kutumika Mwezi Machi 2023.

Kata Tiketi yako ya Safari kupitia Simu Janja.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na Watumishi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) wakati wa Ziara ya Kikazi aliyoifanya tarehe 10 Oktoba 2022 ikiwa ni mara kwanza tangu aapishwe kuwa Waziri wa TAMISEMI.

Mtendaji Mkuu, Dr. Edwin P. Mhede akiteta jambo la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Angellah Kairuki wakati wa ziara ya kikazi kukagua miundombinu ya Mradi wa DART tarehe 12 Oktoba 2022. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kheri James.

Kaimu Meneja wa Mipango na Usafirishaji, Mhandisi Mohamed Kuganda akitoa maelezo kuhusu Karakana ya Ubungo kwa Maafisa wa Mamlaka ya Barabara za Miji nchini Kenya (KURA) pale walipotembelea DART ili kujifunza Mfumo wa BRT.

Ugeni kutoka Mamlaka ya Barabara za Miji nchini Kenya (KURA) wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao Wakala wa DART pale walipotembelea Wakala huo kwa lengo kujifunza Mfumo wa BRT tarehe 29 Septemba 2022 Ubungo Maji Dar es salaam.

Afisa wa DART,  Mhandisi Nebu Kyando akitoa maelezo  kwa Maafisa wa Mamlaka ya Barabara za Miji kutoka Kenya (KURA),  namna abiria wanaotumia viti mwendo wanavyoingia ndani ya basi na kushuka.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede akifafanua jambo kwa Muwakilishi wa Heshima wa Tanzania, Jamhuri ya Czech , Mhe. Roman Grolig na wajumbe alioambatana nao katika ziara ya kikazi katika Ofisi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Septemba 15, 2022 Ubungo

Mtendaji Mkuu, Dr. Edwin P. Mhede akikabidhi zawadi kwa Muwakilishi wa Heshima wa Tanzania, Jamhuri ya Czech, Mhe. Roman Grolig mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi Septemba 15, 2022 iliyoangazia fursa ya uboreshaji wa usafiri wa umma DSM

Mtendaji Mkuu wa DART Dkt.Edwin Mhede akielezea namna mfumo wa ukusanyaji nauli (AFCS) unavyofanya kazi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji (PIC) ilipotembelea mfumo huo Gerezani Septemba 3, 2022

Karibu tukuhudumie, kwa maoni, ushauri na msaada kuhusu huduma zetu.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede, akisisitiza jambo kwa Maafisa TEHAMA alipowatembelea kwa lengo la kukagua maendeleo ya majaribio ya matumizi ya Kadi na Mageti ya Mfumo wa Nauli wa Serikali (AFCS) Julai 17, 2022 katika Kituo Kikuu cha Gerezani.

Dr. Edwin Mhede akitoa maelekezo kwa Maafisa wakati alipotembelea eneo la Kigogo kutakakotumika kama njia mbadala ya Mabasi kwa Awamu ya Pili ya Mradi wa DART endapo ujenzi wa daraja linalokatiza mto Msimbazi litakuwa halijakamilika kufikia Machi 2023.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede katika picha pamoja na Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Maendeleo Yatokanayo na Maboresho ya Usafiri wa Umma (TOD) mara baada ya kufungua mkutano wa kamati hiyo kwa niaba ya Katibu Mkuu TAMISEMI Julai 18, 2022.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede akifafanua jambo wakati akifungua Mkutano wa Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Maendeleo Yatokanayo na Maboresho ya Usafiri wa Umma (TOD) kwa niaba ya Katibu Mkuu TAMISEMI Julai 18, 2022.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede (katikati) akihakiki zawadi kabla ya kumkabidhi Mjumbe wa Kamati ya Ukaguzi iliyomaliza kipindi chake, Mhandisi. Amin Mcharo. Kushoto ni Meneja Ukaguzi wa Ndani DART, Bi. Flora Fifi.

Menejimenti ikiongozwa na Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi iliyomaliza kipindi chake cha kazi tarehe 13 Julai 2022.

Mtendaji Mkuu DART, Dr. Edwin Mhede akipokea ripoti ya Kamati ya Ukaguzi iliyomaliza kipidi cha kazi kwa mujibu wa Kanuni za Fedha za Umma za mwaka 2001 kutoka kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Bw. Mohamed Ntunda.

Mtendaji  Mkuu wa DART Dk.Edwin Mhede akiongea na mteja aliyetembelea Banda la DART wakati wa kilele cha maonesho ya sabasaba Julai 07/07/2022.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dk.Edwin Mhede (aliyeshika mpira) akiwa na watumishi wa DART wakati wa Bonanza lililofanyika siku ya Sabasaba Chuo cha Ardhi.

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Hussein Kattanga akipatiwa maelezo ya Mradi wa DART pale alipotembelea Banda la DART wakati wa Maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara Julai 6, 2022.

Baadhi ya wakazi na Wageni waliotembelea banda la Wakala wa DART, wakitoa mrejesho wa huduma ya Mabasi Yaendayo Haraka kwa Maafisa wa DART wakati wa Maonyesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara maarufu Sabasaba.

News More News

Waziri Kairuki Azindua Bodi ya DART, ataka Mikakati zaidi kuboresha Usafiri wa Umma

Read More Posted On :Nov 16, 2022

Guide DART by commercial principles, Mhede urges a new audit committee

​Just as the internal audit committee of the Dar Rapid Transit (DART) Agency completed their three-year tenure on June 30, 2022, the same committee with new members has been ushered in to guide the operations of the DART Agency in the light of commercial principles.

Read More Posted On :Aug 26, 2022

DART CE urges stakeholders to speed up TOD process

​As the Dar Rapid Transit (DART) Agency strives to expand the Bus Rapid Transit (BRT) project in the six main corridors in Dar es Salaam, stakeholders in urban public transport are also bracing for implementing Transit Oriented Development in the DART system.

Read More Posted On :Aug 26, 2022

DART na TANTRADE wasaini makubaliano ya kupeleka Mabasi katika maonyesho ya Sabasaba.

Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART umetiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano na Mamlaka ya Bisahara Tanzania TanTrade kwaajili ya kupeleka usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka katika maonyesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama sabasaba ili kuwarahisishia wananchi usafiri katika msimu wa maonyesho. Akizungumza katika hafla kutiliana saini makubaliano hayo iliyofanyika katika Ofisi za Tantrade Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa DART Dkt.Edwin Mhede amesema uamuzi wa kupeleka Mabasi katika viwanja vya sabasaba ni muendelezo wa kutatua kero ya usafiri wa umma katika jiji la Dar es Salaam hasa katika eneo la Mbagala na maeneo ya jirani. Aidha Dkt.Mhede amesema kupeleka Mabasi katika viwanja vya sabasaba pia ni kutekeleza maagizo ya Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa USEMI ambayo ilifanya ziara hivi karibuni katika Wakala kujionea shughuli mbali mbali zinazotekelezwa na kutoa agizo hilo. “Uamuzi wa kuleta Mabasi huku sabasaba ni wa kimkakati kabisa na ni mwanzo wa kuelekea kuleta huduma kamili ya mabasi katika Barabara ya Kilwa itakapokamilika mwezi Machi mwakani, na niwahahakikishie wakaazi wa Mbagala na maeneo ya jirani kuwa usafiri unaanza kuja wakati wa sabasaba na muda si mrefu mkandarasi akikamilisha barabara tutaanza huduma rasmi na kwa viwango vya kimataifa kuliko ilivyokuwa katika awamu ya kwanza” Alisema. Amesema maonyesho ya sabasaba ni sehemu ambayo inakutanisha watu wengi kutoka sehemu mbali mbali za jiji hivyo Wakala umeona ni vyema kutumia fursa hiyo kuwarahisishia usafiri lakini pia kutangaza huduma. Katika siku za usoni Taasisi hizo pia zimekubaliana kuendeleza ushirikiano ikizingatiwa maboresho ya miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka yanakwenda sambamba na kuboresha miundombinu na makazi yanayaopakana nayo kwaajili ya kutumia fursa zitokanazo na miundombinu hiyo. Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi.Latifa Mohamed Hamis amesema makubaliano baina yake na DART ni mwanzo wa kuendeleza kutangaza shughuli za biashara katika viwanja vya sabasaba lakini pia ni mwanzo wa kupanua wigo wa shughuli za uchumi katika maeneo yanayozunguka viwanja hivyo. “Kuendelea kupanuka kwa maendeleo katika eneo hili ni Dhahiri kuwa hata shuighuli za kiuchumi hususan biashara zitaongezeka hivyo wenzetu wakileta Mabasi huku kwetu wataongeza thamani katika ustawi wa jamii inayotuzunguka kwani usafiri karika eneo hili ni changamoto kubwa” Alisema. Katika kipindi cha maonyesho yam waka huu DART itapeleka Mabasi zaidi ya kumi ambayo yatatoa huduma kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa mbili usiku na wananchi wataweza kununua tiketi za kuingia kwenye maonyesho ya sabasaba wakiwa katika vituo vya mwendokasi vya Kimara, Kivukoni, Morocco,Gerezani, na hata Kibaha, Mloganzila na Mbezi kama kutakuwa na uhitaji huo. Watumiaji wa Mabasi Yaendayo Haraka kutoka maeneo mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam wamerahisishiwa pia namna ya kuingia katika viwanja vya sabasaba ambapo kimeandaliwa kituo maalum ambacho kiko nje ya viwanja hivyo na wananchi watakaposhuka tu hawatalazimika kukata tiketi watatumia tiketi walizokatia karika vituo mbali mbali vya DART. Sambamba na wananchi kurahisishiwa ukataji tiketi za kuingia sabasaba pamoja na kuwepo na huduma ya Mabasi Yaendayo Haraka wametengenezewa pia mlango wao maalum ambapo wakishuka tu kwenye Mabasi wanaingia uwanjani moja kwa moja bila usumbufu wowote, kadhalika kutakuwa na Huduma ya bure ya WiFi katika Mabasi na Katika maeneo yote ya viwanja vya sabasaba.

Read More Posted On :Jun 08, 2022
Events More Events
2019
02
Oct

IKI Regional Conference on Growing Smarter: Sustainable Mobility in East Africa

IKI Regional Conference on Growing Smarter: Sustainable Mobility in East Africa. The works...

More Events Posted On :Oct 07, 2019

Testimonials