Huduma katika Mradi wa DART Awamu ya Pili imeanza kutolewa.

Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa DART, Dkt. Athumani Kihamia (kushoto), akimkabidhi taarifa rasmi ya makabidhiano ya ofisi mrithi wake, Bw. Said H. Tunda, katika Ofisi za Wakala zilizoko Ubungo Maji Dar es salaam tarehe 07 Oktoba 2025.

Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala, Dkt. Eliphas Mollel akitoa salamu za ukaribisho kwa Mtendaji Mkuu, Bw. Said H. Tunda (aliyekaa katikati) alipofika Ofisi za Wakala kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo tarehe 02 Oktoba 2025.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekagua Mabasi Mapya na Miundombinu ya Mradi wa DART Awamu ya Pili kuekelekea Mbagala tarehe 13 Agosti, 2025.

Ujumbe wa DART katika picha ya pamoja na maafisa wa kampuni ya Lake Oil mara baada ya kikao Julai 24, 2025.

Sehemu ya washiriki katika kikao cha kwanza kati ya DART na IFC kilichofanyika Januari 28, 2025 jijini Dar es Salaam. Wa kwanza mbele kutoka kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DART, Dk. Athumani Kihamia.

Ujumbe kutoka Umoja wa Afrika (AU) wakipata maelezo kuhusu Mageti Janja wakati wa ziara ya mafunzo waliyoifanya Desemba 20, 2024 katika Mradi wa DART.

Hafla ya utiaji saini wa Mshauri wa Miamala kati ya Wakala wa DART na IFC iliyofanyika tarehe 6 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba akisalimiana na timu ya menejimenti ya Wakala wa DART Septemba 24, 2024 pale alipotembelea wakala kwa ziara ya kikazi.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba akisaini kitabu cha wageni pale alipotembelea Ofisi za Wakala wa DART tarehe 24 Septemba 2024 Ubungo Maji Dar es salaam.